/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ UTUNDU ADIMU WA MAHUSIANO
Mwandishi: Emmanuel Minga
UTUNDU ADIMU WA MAHUSIANO
Mambo muhimu kuyafahamu ili usiteseke na mahusiano.
Utundu adimu wa mahusiano ni kitabu bora cha mahusiano nilichowahi kusoma hasa pale ulipotusaidia kutuelewesha kati ya upendo na tamaa, pale uliponisaidia kunielimisha mahitaji ya mwanamke na mwanaume kabla ya ndoa, daa hiki sio kitabu cha kutonunua, kimebadili mtazamo wangu sana
James
Mei 15, 2024
Nashukuru nimepata mchumba kashatoa mahali tyar zaidi nashukuru ananipenda sana nikushukur kwa kitab chak na ushauri wako
Monalisa
Mei 14, 2024