/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ USITESEKE TENA
Mwandishi: Emmanuel Minga
USITESEKE TENA
Mbinu za kukusaidia kupona maumivu ya hisia
Mbinu za kukusaidia kupona maumivu ya hisia
Yaan kaka angu nikupe tu maua yako mimi nimepona matatizo yangu mengi sana nilikuwa nafikiria ipo siku kweli mm ntaacha kuumia kwa ajili ya huyu mtu...lakin saivi nimeamua kuishi kivingine kabisa for real God bless you sana kuna wAtu wanapona sana Kupitia wewe maumivu ya moyo hat ukienda hospital hupati soln Kupitia wewe I'm Good
Lucy
Julai 25, 2024
Vitabu vyako ni ๐ฅ Na mambo Sasa yanaenda vyema licha ya kwamba Niko katika kipindi Cha kukataliwa na ndugu but Niko imara , Nina amani siwazi nasonga mbele... wao ndio wanaulizana Sasa mbona Yuko kimya tuu huyu Mtoto ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ...
Rahin
Julai 13, 2024
Mwalimu nakutumia zawadi uliponitoa napajua mm ubalikiwe sana kitabu 1 tu USITESEKE TENA Leo nimekuwa mpya
Upendo
Julai 05, 2024
Nmeanza kusoma kaka kwel najihic aman moyon kumbe napaswa kujisamehe na nsahau mazur yote nliyoyatenda nkalipwa Kwa ubaya wa kuachika napata nguvu kaka hapa nimeona ipo haja hata niende nkaoge nlianza kujichoka nkaona cna thaman Asante sana kaka unaninyanyua nlipokuwa nimeangukia Asante sana ubarikiwe nafurah kukufaham umenitia moyo mno.
Winfrida
Juni 26, 2024
Leo ngoja na mim niseme kidg jmn.. kwanza kbxa nmeacha kuwa na hofu juu ya watu wananiwazia nin nmeamua kua jasiri na positive to myself๐ฅฐ nmegundua kua nlikua najiumiza mwenyewe tu na hamna mtu anajali, kumbe fikra zako znakutafuna๐น๐น
Madam fett
Juni 26, 2024
Nimeteseka miez nane nahangaika namuwaza na kumfwatilia x kumbe nilikuwa nakosea , aisee ninenepe sasa siteseki tena. Nakili bila wewe nisingefika hapa nilipo leo
Halesna
Juni 24, 2024
๐๐๐๐ค mibaraka izid kumiminika napendwa saiz nabebembelezwa halooooo sitesek tna hakika wew ni mwl, wa kiroho,kimwil sjui nataka kusemaj dah! I'm happy ๐๐๐๐
Shazia
Juni 22, 2024
Mwalimu nakuwazia sikumalizi... USITESEKE TENA...Yaan nimejipandisha siwazii,sikondiii,siumiii..nipo kama nondoo...๐๐๐
Madam T
Juni 20, 2024
Kaka Mungu akulipe hakika nmepata tumain jipya baada ya kusoma hivi vitabu,,,naiman nmekuwa mpya tena hakika nmejifunza vingi hadi naona kwann cjakufahamu mapema,,,MUNGU AKULINDE NA AKUPE UMRI MREFU TUZID KUJIFUNZA NA KUIMAIRIKA KUPITIA WEW
Zai
Juni 11, 2024
Habari za asubui mwalimu? Saivi nikiamka hadi nakwenda kulala nimekuwa nikijiambia maneno mazuri hadi nashangaa na kipindi cha juma nilikuwa najilaumu kila Siku saiv hicho kitu hakipo najikuta ninaujasiri sana
Gift k
Juni 04, 2024
Dahh nimemaliza kusoma kitabu mambo nilipitia umeyaandika kwenye kitabu mwalimu kipindi unaandika hiki kitabu ulikuwa unanilenga mimi aisee๐ข๐ข Hakika nimepona kabisaaaa mwanzoni nilikuwa naogopa kukisoma lakini nilivyoamua nimekutana na ukweli mchungu asante mnoo umeniokoa pakubwa๐
Khilath
Mei 30, 2024
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu chako mwalim .. nakosa ata cha kusema ila asante nashukuru hata kwa uwepo wako kwa watu kama sisi... Sasa hivi nimejua udhaifu wangu lkn pia nimejua watu wangu ni wepi.. na pia kwa sasa najisikia kama nimetua mzigo mzito ndani yangu.. ubarikiwe siku zote๐ zawadi yako ipo njiani asante tena na tena kuja kwenye maisha yangu wakati sahihi kabisa nitaenda kufanya mitihani yangu ya kumaliza chuo na ninakuahidi nitarudi kakwo kuleta matokeo yaliyo bora kuliko ๐๐ฅฐ Mw Mungu akutunze kwa ajili ya wengi... Maumivu kwangu ndo basi tena๐ฅฐ๐๐
Emmy
Mei 30, 2024
Kaka asante sana nimesoma nimeelewa maana nimetafuta hata kikombe cha chai maana tangia asubuhi hata maji sikuweza kunywa nimejikuta amani ya moyo imerejea
Rosina
Mei 29, 2024
Namaumivu nliyopitia saiv anapinga simu anasema kwanin simutafuti na simshilkishi mambo yangu jana kapiga simu anauliza ety kama nmekula๐๐๐ ....wakat sjawah ulizwa hayo maswali hapo mwazoni.. kwakweli nshapona nasto teseka tena mwl mungu akujali pia uzid kutupa nondo yingi๐
Madam L
Mei 28, 2024
Hiki kitabu ni kiboko ya halahala upele na makunyanzi๐
Rosai
Mei 23, 2024
Toka Nimesoma usiteseke tena nimekuwa na amani saivi naona mwanga hadi watu wananiambia nimekuwa mdogo
Gift k
Mei 23, 2024
Mimi ima nilikuwa sili silali nalia kama kwenye msiba sitaki kukumbuka jamaniii๐ข Now najiona wathamani tena najiona pisi kali tena ila kweli am cute๐ฅ๐ฅ
Ika M
Mei 18, 2024
Mwl unapepo yako nazidi kuwa jasiri yaani baada ya kuachwa na niliempenda niliamua kujipenda sasa kila mtu ananishangaa maana nilikonda mno kwa sababu ya maumivu ila saivi nimenenepa mno na najijali hadi watu wanasema niliyempata sasa ananifaa wakati nimeamua tu kujijali na kujipenda, ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa kibari zaidi๐
Maria
Mei 18, 2024
Mwalimu acha nianze kwa kukusifu kwa kisukuma sijui nitaweza๐ ila kitabu cha usiteseke tena ni dawa haina haja ya hospital, nakisoma kila dakika kimeingia moyoni hadi kwenye mifupa , nimekuwa huru na furaha tele, nilikuwa nimekata tamaa na kujichukia, kwa sababu ya makosa yangu nakujiona sina thamani ila saivi...๐
Anel
Mei 18, 2024
Kiukweli hichi kitabukimnipa mwanga imenifundisha mambo mengi sana ikiwepo kutokumtegemea mtu mwingine zaidi ya Mungu lakini pia kuna wakati wa kuvaki peke yako lakini katika wakati huo sio wa/kulia na kuhuzunik ni wakati wa kusonga mbele na kujiimarisha/nimepitia mengi lakini sasa nina amani nilikuwa wa kulia na huzuni laki now nipo gado
Madame Ade
Mei 15, 2024
Mm nimesoma chausteseke tena cjamalza lakin naona kabsa kituo kinachofuata ni gim nahap cjamalza asante mung akuweke kwaajil yetu nawengine pia๐๐๐คฃ๐คฃ
Madam Linda
Mei 14, 2024
๐น nimejifunza vingi sana kupitia wewe na vimenibadilisha sana ๐น๐ฅฐ namshukuru mungu Kwa ajili ya โจ ๐น uwepo wako. ๐ Hakina wewe ni mwalim Bora sana unaye jua kuwarudisha kondoo waliopotea kundini. ๐ฅฐ๐๐ฅณ๐ฅณ Nakuombea afya njema na uzima kila inayoitwa Leo ๐โค๏ธ
Adela
Mei 13, 2024
Kwanza naanza Kwa kusema Asante mungu Kwa ajili ya mtumishi wako *mwl. *Mheshimiwa sana ๐๐ฅณ jamn nyie acheni mungu aitwe mungu mwalimu wangu me Naomba nikuulize TU swali Kwan wewe kipindi yesu anatoa darasa Kwa wafuasi wake je na wewe ni mingoni mwao ๐๐ mana vitu unavyotupatia jamn ๐๐๐ ๐ฅฐ sijui nilikuwaga wap kuyajua haya madude huko nyuma ila any way bless nying sana kwako mwalimu wangu ๐ค๐ hakika naufurahia uwepo wako Kwenye hii Dunia ๐นโจ ,
Adela
Mei 13, 2024
Usiteseke mwalimu angu kimenipa ushindi maana nilipigwa tukio hilikuwa nalia kila itwayo leo nilikaa wiki mbili hamu yakula sina mwili ulianza kuzofika niliposoma hiki kitabu nakumbuka nilikutumia msg nimeingia ofisini nimeagiza chakula nikala baada yakusoma nimejiona nilikuwa mjinga sana .kwasasa niko bize kutafuta pesa namalengo yangu kuyatimiza .mungu akubaliki sana ninajambo langu likitimia kwauwezo wa mungu lazima nitakupa tarifa niko viwango vingine kwasasa .
Mag
Mei 06, 2024
USITESEKE TENA, hii ni kiboko ya madoa sugu aisee yaani kimenifanya nijiamini, nina furaha nilioikosa muda mrefu nimefuta hadi namba za simu saivi nikipigiwa nauliza naongea na nani wananiona nimekua jeuri, Mungu akutunze kwaajili yetu barikiwa sana
Ade
Mei 06, 2024
We jamaa kama mchawi umejuaje yote haya
Light
Mei 05, 2024
Hiki kitabu kilinisaidia sana nlikuwa napitia wakati mgumu kwenye maisha yangu haujawahi kutokea. Kila mtuu alikuwa amenigeukaa,, nilikuwa kwenye kipindi ambacho nahitaji msaada kuliko vipindi vingine kwenye maisha yangu lakini hayuko ambae alikuwa tayari kusimama na Mimi lakini kupitia kitabu hiki Cha usiteseke tenaa nlipata mwangaa hata Yale maumivu nlikuwa nayapata yalikuwa yanapotea kwani nilipata nguvu na mwanga wa kuweza kusimama tena mwenyewe bila kumtegemea mtu na nliweza, hiki kitabu kimekuwa mkombozi mkubwa sana wa maisha yangu la sivyo ningekuwa na hali mbaya sana mpaka mda huu. Pongezi sana kwa mwalimu Minga kwa kuandika kitabu hiki
Bloomproducts
Mei 03, 2024