/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ ULIMWENGU WAKO
Mwandishi: Emmanuel Minga
ULIMWENGU WAKO
ITAMBUE NAFASI YAKO UYAVUTIE NA KUYAISHI MAFANIKIO YAKO
Ipo siku Nitakuja kukueleza baraka ninazoziona hapa kupitia vitabu vyako nimeanza chini kabisa lakini nina target kubwa niligundua mimi siyo jasiri kabisa,, mwoga sana ila now nimekubali kufanya kazi ya chini kabisa kutafta ujasiri kuondoa uoga na kuongeza kujiamini, ili badae nikue sasa katika mambo yote. NA KILA SIKU NAKUOMBEA SANA KWA MUNGU WETU ALIYE MBINGUNI.nakupenda sana Mr Minga
Mr Stev
Mei 17, 2024