/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ UFUNDI WA FEDHA
Mwandishi: Emmanuel Minga
UFUNDI WA FEDHA
Zijue siri za kuiongeza fedha yako zaidi
Zijue siri za kuiongeza fedha yako zaidi
Ufundi wa fedha ๐
Madam T
Julai 13, 2024
Leo naomba nitoe shukrani zangu kuhusu UFUNDI WA FEDHA. kimenifungua sana kwenye 1. Namna ya kuwekeza fedha 2. Wapi fedha ilikojificha 3. Kuishi kwenye bajeti Mungu akubariki sana kwa maarifa haya๐
Pamella M
Mei 25, 2024
Bila ufundi wa fedha ningekuwa bado ninateseka๐๐ฟ shida toopuuuuu madeni toopuuu Lakini ona baba sina wasiwasi wowote na nimeanza na kunenepa . Taarifa nilizozipata kwenye kitabu chako ni dawa Asante sana ubarikiwe ๐
Veronika Nyemo
Mei 18, 2024
Nilifanyia kazi kile ulichokiandika kwamba turudie maneno kufanya mindset kuamini jamani usiku mchana asubuhi baada ya hapo kilichofuata nashangaa tu hapa laki na ishirini nimeingiza mwalimu siamini hapa, yaani ufundi wa pesa am speechless ๐ถ
Jema Aliko
Mei 14, 2024
Kwa kitabu hiki nimeanzisha biashara( huduma) nashukuru Mungu simu zinaita ๐๐ฟ
D zena
Mei 14, 2024
Nilipobadili mtazamo na kuaanza kuifikiria fedha kama ulivyoelekeza kwenye hiki kitabu nimeongeza mauzo zaidi ya elfu 70 ndani ya siku 3. Sirudi nyuma tena ticha maua yako๐๐
Nyagiwa
Mei 13, 2024
Ndani ya siku tatu nimetengeneza fedha niliyokuwa natengeneza zaidi ya wiki 2. Uchawi ni fikra nimeamini ๐ hii ebok๐
Endrak
Mei 11, 2024
Aaw!! Haya Maarifa ndo niliyokuwa nimeyakosa kuhusu fedha ndio maana nilikuwa sifanikiwi na kuhisi nimerogwa๐ mchawi ni ufinyu wa elimu juu ya fedha, kuanzia sasa naamua kubadilika na kufanyia kazi maarifa haya adimu, Fedha inataka uitengenezee mifereji ili ije kwako Fedha inataka kupangiwa nini ikufanyie na sio ikupangie" na nimeshajua ni jinsi gani naweza kuifanya fedha iwe mtumwa mwaminifu kwangu" Barikiwa Mwalimu you're the best!!!! Mwaka huu hiki kitabu kipewe tuzo ๐ฅ ๐ฅ
Leon Sunflower Oil
Mei 03, 2024