/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ SUMAKU YA FEDHA
Mwandishi: Emmanuel Minga
SUMAKU YA FEDHA
Mbinu zilizothibitishwa kuivutia na kuifanya fedha ikutumikie
Labda niseme.., kuanzia nianze kusoma the sumaku ya fedha nmeshapata ideas nyingi sana huku nafkiria kutengeneza matawi mengi ya vitu mbalimbali😇 naomba nikwambye kwamba ndan ya miaka kadhaa isiyo zid mi 4 ntakuja apa nikiwa namiliki gar ya ndoto zangu😍🥳na vyanzo vya fedha visivokauka😹😹labda nipoteze namba zako mwalimu mkombozi🤩🤸🏻♀️
Madam fett
Juni 26, 2024
Aisee mwalimu Kwanza nishukuru kwa kitabu hichi,🙏🏻🙏🏻🙏🏻kimenifungua Mambo mengi hasa matumizi ya fedha bila bajeti,mikopo n .k mungu akuzidishie maarifa uzidi kutusaidia. Naenda kujiona mwengine umenipa ujasiri nahitaji kupambana sitaki kusubiri mshahara🏃♀️🏃♀️🏃♀️,mungu akulinde Kwa ajili yetu Ticher🤲🤲🤲
Madam B.S
Mei 14, 2024
Mwalimu nimepata deal la hela kutoka kwa stranger tu🤫 elimu yako ni🙌
Graceful
Mei 13, 2024
Kuhusu kitabu Cha Sumaku ya pesa , kiukweli n kitabu kizuri mnoo napenda kutestify,,Yan tangu niwe msomaji wa vitabu vyako nimebadilika sana kwenye nyanja mbalimbali🙏🏼, especially kwenye swala la pesa sijawah pata shida kabisa mpaka nikakosa suluhu ya jambo langu,,aise!! Nimeshajijengea network,,,coz my network is my net worth,,ni swala la mdA tu ndo kilichobaki mwanao nikushangaze. Kingine mpaka watu ninaoishi nao wananishangaa wanasema mbona unaimani sana? Nikiuliza why wanasema unatukataza kukiri hatuna pesa ,,na tukifanya hivo tunapata kweli pesa why this?? Nawajibu Kwan nyie mnapenda pesa au hamzipendi? ,,,,majib Yao tunazipenda! Nawajib ukiri wako ndo uhalisia wako.ukikiri umaskini utakuwa na ukikiri utajiri utakuwa pia Tamka kitu unachopenda na sio unachokichukia😁.wanabaki kushangaa.. baba Mungu akubariki sanaaa 🙏🏼🙏🏼🫶🏻🫶🏻
Teddy
Mei 11, 2024
Ahsante Kwa ajili ya hiki kitabu Kuna point za msingi saaaanaaa nimezipata mbali na zile nilizokua nazijua Mungu akubariki saaaana na wallet yako isipungue dollar maana naona wewe cyo wa viwango vya Hela ya kitanzania tenaaa Natamani nikupe zawadi ulikua ndani ya uwezo wng ambayo inaendana na zawadi ulionipa
Pretty
Mei 08, 2024
People they can take normally,Ila ndani ya hiki kitabu Kuna mambo mengi Sana ya msingi ya kujifunza kuanzia na mtazamo au Fikra ya mtu juu ya fedha ambayo anataman aimiliki atakama bado haijafika mkononi mwake yaan vile aonavyo mtu ndani yake Ndivyo itakavyo mtokea au Ndivyo alivyo,so binafsi Nimejifunza na kupiga hatua kupo,na mambo mengne mengi siwezi maliza kwa kuandika hapa Ila ni kitabu cha msing Sana hasa kweny haya maisha ambayo pesa inatafutwa Haswa.
Pinky Mellon
Mei 03, 2024