vitabu

/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ SIRI YA KUUSHINDA USALITI

kitabu
Mwandishi: Emmanuel Minga

SIRI YA KUUSHINDA USALITI

53 nakala zimeagizwa

9 tathmini

9999Tsh

Agiza
Maelezo

Dawa ya kuponya moyo uliosalitiwa

Tathmini

Mwalimu na nusu Asante sana kwa kunitoa kwenye dimbwi la mawazo na stress ๐Ÿ‘๐Ÿ™, bhana Jana ilikuwa siku nzuri sana nimekuwa mtu wa kutokujali mambo yake mpaka Jana akaniambia alafu nimeanza kukiona kiburi chako .... Moyoni nasema na bado na utasema ......๐Ÿคฃ Asante sana doct wetu mungu aendelee kukuweka kwa ajili ya watu kama sisi

Mrs Salu

Julai 01, 2024

Emu uwaambie watu ni mganga gan unaemtumia maana haya masomo unayotoa automatically mtu anajikuta yamembadilisha kwa level za juu mwanzo nlifkiri unaedit comments๐Ÿคญ๐Ÿคญ.. ila nguvu unayo induce into people sio ya kawaida๐Ÿ’ช๐Ÿผ

Madam fett

Juni 26, 2024

Nimemaliza kusoma kitabu cha SIRI YA KUUSHINDA USARITI kwa sasa moyo unafura mda ote yani ata baya kwangu naliona jema, Asante sana mungu akubarik๐Ÿ™๐Ÿ™ umeuponya moyo wang

Wema

Juni 25, 2024

Madini bado yanafanya kazi ndani ya moyo wangu na akili yangu umenipush sana ndani ya ndoa nipo huru simuwazi aje asije hainihusu,,,, mtoto wa mama mkwe jamani alinitesaga, najiona wa tofauti sana now๐Ÿ™

Olpa

Juni 24, 2024

Mwalimu mume wangu amerudi na ananihudumia vizuri ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Ester masebe

Mei 13, 2024

Kaka naona mme wangu kabadilika Sana kawa mwema kwasababu hata akinikoseasimuulizi wala sinuni kama zamani alikua anafanya mambo kwa kificho ila kwasasa naona ananishirikisha mwanzo nilkua naumia kwanini hanishirikishi kwenye mambo yake nilkua namlaumu Sana lakini nilivyo soma kitabu cha siri ya kuushinda usaliti kile kipengele cha dhambi ya mtu mwingine isikutese mwache mteda dhambi ateseke yeye nimekua mpya sjipi umuhimu wowote kwake kuna muda matendo yake yananiumiza ila simuonyeshi kuchukia nakuja kusoma status zako nakua mpya tena furaha na amani inaendelea asante Sana kaka๐Ÿ™๐Ÿ™โค๏ธ Zile dharau sizioni tena naona kama muujiza umeshuka kwenye nyumba yangu๐Ÿ˜”

SS.M

Mei 08, 2024

Hello,,, napenda kutoa shukran zangu za DHATI kwa kupata nakala hii ya kitabu na kukisoma kwa u makini na kuelewa kwa hali ya juu,,aisee!! Natamaniii kila mtu asome kitabu hiki kisha aponywe na majeraha aliyonayo it's a great book ever,, nakupongeza baba kwa maono yako ya rohoni ,, una nondo nyingi sana! Na Huwa sichoki kusoma vitabu vyako.be blessed More ๐Ÿ™๐Ÿ™

Senyamle

Mei 03, 2024

Hello.. Kwanza nianze kwa kusema heshima yako mwandishi. Maana umetumia ufahamu wa hali ya juu mno katika kuandika na kuchambua mambo ya msingi yaliyofanyika msaada wa utatuzi katika changamoto yangu. Wakati mwingine nawaza kua wakati unaandika kitabu hiki hukuwa umekaa katika dunia hii tunayoifahamu..isipokua nadhani ulikua umekaa kwenye dunia yako peke yako ukiyaangalia mapito yetu kama movie kisha ukaanza kuchambua tukio moja moja na kulitafutia ufumbuzi. Itoshe kusema kua namna kitabu hiki kilivyofanyika dawa ya kupoza mikuki ya maumivu moyoni mwangu na kuigeuza mikuki hiyo ya moto kua radha tamu ya muziki pendwa unaoburudisha na kukonga nyoyo za wengi. Mr. Minga, hakika kitabu hiki ni dawa adimu ambayo haijawahi kutokea kutokana na umahiri na utamu wa mambo yaliyomo ndani yake hakika sijajutia kukisoma bali kimokomboa nafsi yangu...asante mno.

Maggie

Mei 03, 2024

Kwenye suala la mahusiano ni kazi sana Kama utapenda mahali usipopendwa maan itakuwa na mateso kwa upande mmoja,niliposoma hiki kitabu kilinijenga namna nzuri ya kuhusiana na mtu mithili ya kutokuwa mzigo kwa kuhakikisha nakuwa na majukumu yangu ambayo yananifanya kuwa busy na kujiingizia kipata badala ya kubase kweny kumfikiria mtu ambae amekwisha ujeruhi moyo wangu,pia kuinteract na watu mbalimbali ambao watanipa mawazo mapya na kufanya kuongezeka binafs

Lydia kapiki

Mei 03, 2024