/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ SIRI 10 BORA ZA KUISHI NA MWANAUME
Mwandishi: Emmanuel Minga
SIRI 10 BORA ZA KUISHI NA MWANAUME
Zijue siri ambazo wanaume hawawezi kukwambia lakini ndizo wanatekwa kwa hizo.
Hiki kitabu kimenifanya naweza kutunza na kufurahia mahusiano yangu. Kimenifanya nimjue mwanaume na nimfurahie hii kitu ni 🔥🔥🔥 kitabu kizuri mbo yaani
Gee
Mei 21, 2024
Mume wangu ameshangaa sana kuna kitu nimemfanyia kaongea yote ani hii kitabu inamfanya mume wangu aone nimebadikika sana
Gretha
Mei 11, 2024
Nmesoma vitabu vyako 9 kama sijasahau... yaan ndio vimenifanya mimi bora kuliko nilivyowahi kuwa. Ni vitabi vimeyapa thamani mno maisha yangu. Nimebadirika namnaa navyochukulia mambo yawe mabaya au mazuri. Imenifanya kujua utofauti wa vitu navyopaswa kuzingatia na kupuuzia.. nmejifunza mengi mnooooo. siri ya kuish na mwanaume,na mambo ambayo mwanaume hataki ujue,ndio kitabu kimenipa mahusiano yenye afya na amani,na soon wali unaliwa
Gee
Mei 06, 2024