/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MWANAMKE WA KAZI
Mwandishi: Emmanuel Minga
MWANAMKE WA KAZI
Mbinu za kukukwamua mwanamke na kufanikiwa bila ya kumtegemea mwanaume
nazidi kuimarika maan hadi sasa watu wananishangaa nina aman na hakik nafanya vitu vyangu bila kumbuguzi mtu hakik ubarikiwe sanaaa
Tun
Julai 11, 2024
mwalim. Kwasabab yako,leo ni mwaka wa 4 nalea mwanangu. Ulinifundisha kuwa nimuone mwanangu km baraka, na tangu hapo sina hata shida na baba mtoto. Nilianza kumjali mwanangu,kumpenda mnoooo na sasa hta mzaz mwenzang nilishasahau na namba ake ya simu. Sioni ugum kbsa kweny kulea, anaweza kuj kumuona mtot baada ya miez hta 6 na asije na chchte na bdo hta nisilalamike. Kauri yngu ni kuwa "mtoto ni wangu" natakiwa kuchukua 100% ya majukum juu ya mtoto wangu. Sina stress kbsa za malezi wala sina hasira na baba mtoto
Mama H
Julai 05, 2024
Adi kuna swali nmekua nikijiuliza ivi karibun😅😅 wanawake wanasema nataka mwanaume nwenye hela ili amspoil,..the qn; kwan wanaume wanaztafutia wapi izo ela ambapo sisi atuwez kuzipata😹😹 I want to prove thia wrong jmn.. tunahitaji kupata za kwetu tujispoil wenyew na tujinnunlie vitu vizur.. na sio kununa kisa ela za mwenzio😂💔
Madam fett
Juni 26, 2024
Nilianza kwa kulalamika we kila siku tunatukanana kwa message ananitukana kuwa nisimpangie kuhudumia watoto wake... Niliamua kuamka na sasa nina mgahawa ambao nalisha mfuko wa kg 25 za ngano unaisha kwa siku , simuwazi kwa lolote labda yeye kwa sasa anateseka kuview stutus zangu na kujinyenyekeza kwangu mie sina time nae wanangu wako poa , nalea wanangu tunafuraha na wanangu ubarikiwe kaka 🥰
Mama P
Juni 25, 2024
Habari kaka Emma asante kwa vitabu nimesoma na nimeona sehemu nyingi ni kama umeniongelea mimi, hadi nasema why sikukwambia hili mapema kaka mana nisingefika huku nilipofika sasa, ni kweli natakiwa kusimama kwa sababu nyuma yangu yupo mtoto anaenitegemea mimi mama yake, napaswa kutambua kuwa mimi ni mama sipaswi kujifililia mwenyewe kwa maana sasa tupo wawili, kaka nataka nianze biashara nifungue frem ili niuze vipodozi ili kujiongezea ridhiki
Mama Haji
Juni 24, 2024
Mwalimu nilianza na vibarua lakini kww sasa ninabaishara yangu na ninalea wanangu kwa ujasiri
Mama T
Mei 29, 2024
Nimemaliza kusoma hiki kitabu hata sijui nisemeje ni kitabu haswa unasoma unasema kisiishe kinabadilisha hali ya kukata tamaa kabisa wewe ni fundi dactari unajua , Mungu akubariki
Enea Ramadhan
Mei 27, 2024
Shukrani nimesoma na kukielewa vilivyo, kuna mada moja ya mwanamke kutekelezewa watoto umenipa ujasiri zaidi kuwa hata peke yangu ninaweza shukrani kwa maarifa
Mama B
Mei 23, 2024
Hapa ticher nimewin jamani nimekata mnyororo nalipa tena 2.5 million kwa mwaka peke yangu no child support no sponsor Sioni kupungukiwa na chochote ,nasikia amani kumuhudumia mwanangu.
Madam A.M
Mei 18, 2024
Sijui hata niseme nini kwenye kitabu hiki Mungu akubariki nitapambana hadi kieleweke
Maria
Mei 14, 2024
Mwalimu nimekusanya ada ya mwanangu milion point na ninajihudumia vizuri kabisa , mwanamke wa kazi kimenisaidia sana na ufundi wa hela vimenifanyia maajabu
Light
Mei 11, 2024
Mwalimu nimekusanya ada ya mwanangu milion point na ninajihudumia vizuri kabisa , mwanamke wa kazi kimenisaidia sana na ufundi wa hela vimenifanyia maajabu
Light
Mei 11, 2024
Kaka we ishi tu umeniokoa sana nmekisoma kitabu kwa kukirudia rudia nimepata kitu kikubwa sana saiz mawazo yamepungua usingiz pia naupata na pia nahisi njaa nakushr sana afu najiamini sio kawaida, kwel Mungu yupo ndan yako amekuweka kwa kusudi maalum ubarikiwe sana sana sana
A.A
Mei 06, 2024