/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MWANAMKE NI NANI
Mwandishi: Emmanuel Minga
MWANAMKE NI NANI
Upande usioufahamu ambao watu wengi hawawezi kukwambia kuhusu mwanamke
Hataree tangu nikisome kitabu hiki nimekuwa jasiri najiona hakuna chakunisumbua as long as Mungu aliniumba kuwa mwanamke hakubahatisha alikuwa na lengo maalumu!! Na nishajiandaa kuwa malkia wa mtu ambae nae ataniona wathamani ..but akija kichwakichwa msemo wako hatutaelewana๐๐๐
Teddy
Juni 11, 2024
Habari za asubuhi mwalimu, mimi ni mzima wa afya kitabu cha mwanamke ni nani nimekwisha kukimaliza aisee kiko pw sana yaani kitabu ni kizuri umedadavua ukweri nilikuwa sio mpenzi wa kusoma vitabu ila kupitia kitabu cha mwanamke ni nani nimepata hamasa ya kusoma vitabu vingine ili kujijenga zaidi asante sana, *mwalimu kupitia kitabu chako nimejifunza mengi sana mimi kama mwanamke lakini kama mke na mama wa baadaye natamani wanawake wote wasome hiki kitabu naamini 70% ya wanawake watakao soma hiki kitabu wataelimika sana na kuikomboa jamii, kila mwanamke ataujua wajibu wake kama mwanamke , kama mke bora na kama mama bora pia*. Shukrani sana mwalimu Mungu akubariki sana
Captain sarah
Juni 04, 2024
Mwl jana nimesoma kitabu chako cha mwanamke ni nani ndio kwanza nimefika ukurasa wa 35 uwezo aliokuwa nao mwanamke yaani nimebarikiwa sana na hiki kitabu yaani kuna mambo nilikuwa nimeanza kuyakatia tamaa lakini baada ya kusoma hiki kitabu nimepata nguvu ya ziada ukweli mwalimu nasoma kitabu chako hadi natabasamu peke yangu tu kitabu kina radha kitabu hakichoshi unatamani usiache kusoma yaan ubarikiwa sana mwalim nakuombea kwa Mungu akuongezee maarifa na hekima zaidi na zaidi mwalimu.๐๐๐
Husna
Juni 04, 2024
Huwa nakirudia mara kwa mara kitabu hiki kina madini sana
Samaria G
Mei 29, 2024
Nimejifunza mengi sana kwenye kitabu hiki. Nakuahidi nitakuwa mke bora kwa mume nitakayempata
Sarah
Mei 11, 2024