/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MTATUZI WA MATATIZO YAKO
Mwandishi: Emmanuel Minga
MTATUZI WA MATATIZO YAKO
Nguvu usiyoijua ya kutatua matatizo yako kiuchumi na kimahusiano
Mtatuzi wa Matatizo Ni Nomaaaπ₯π₯π₯π₯
Prof.J
Septemba 04, 2024
Yani baba mpaka dakika hii siamini kwamba nimetoa pesa nyingi kununua mashine ya chakulakutoka mfukoni mwanguππ½ππ½ππ½ππ½ππ nyiee kitu kiweke akilini Uone utakavokifanya kwa nguvu zote!!!! Subconscious mind yangu imeniletea kitu really ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ aisee na sijanunua compuny mbayambaya N WEST POINT ALAF KUBWA LITA 100 nashukuru uwepo wako maishani mwangu!!!
Madam T
Julai 13, 2024
Nimesoma na kufanyia kazi namna ya kuzifanya fikra zangu zianze kunitumikia.... Kwanza sasa ninafuraha sana maumivu yameisha, biashara yangu nilikuwa nauza siku nyingine siuzi lakini saiz nauza kila siku na zaidi ya nilivyokuwanauza mwanzo, ninajiambia kila siku ninastahili kuuza pexa ni kwa ajili yangu ipo ili initumikie na kila siku inapaswa ije kwangu kwa wingi sasa waaaa matokeo nayaona asante sn na ninaendelea kukilidia mara nyingi yaanininavyojihisi kufanikiwa ndivyo nafanikiwa dokta big up sana tegemea mirejesho mikubwa zaidi ya huu
Paulina
Juni 29, 2024
Asante sana kitabu chako kimenisaidia kwa kadri siku zinavyosonga mbele najiona mpya, najiona mwenye nguvu , najiona ninafuraha, kiukweli ubarikiwe sana Mungu akutunze, mtatuzi wa matatizo π₯ hope am going to beπ₯ soon
Gelen bisko
Juni 29, 2024
Mwalimu nakupenda hadi nakupenda yena ndani ya masaa machache nimebadilika nimejikuta na furaha na kujiamini πͺπͺπͺ
Madam G
Mei 21, 2024
Nishaanza kupata idea ya vitu vya kufanya, kitabu chako ni kizuri hatutumii vizuri fikra zetu kutufanikisha mara nyingi tunazitumia kutuharibia.
Maya
Mei 14, 2024
Hii book ni mnoma ...siogopi tena hela inanitumikia sasaπ€ingawa sijapata hela kivile ila hela inaonekana saizi. Kitabu chako nilikuwa mvivu tu wa kukifanyia kazi ila matokeo nayaona
G-Dee
Mei 11, 2024