/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MSINGI WA MAHUSIANO
Mwandishi: Emmanuel Minga
MSINGI WA MAHUSIANO
Namna ya kuwa mtu sahihi ili upate mtu sahihi wa kuwa naye kwenye mahusiano
Mwalimu unajua sikuamini k amba nitapenda tena lakini nimepata mtu ananipemda mno na ananipenda hivi nilivyo na anakuja kujitambulisha nyumbani siku si nyingi . Mwalimu nina furaha mno🙏
Jackline
Juni 08, 2024
Siku hizi natongozwa sana mpaka imekuwa kero, sio mitandaoni wala huku nyumbani hadi imekuwa kero. Ukijijari unaanza kuvutia ...hii ni komesha kukataliwa.
Anitha
Mei 14, 2024