/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MSINGI WA BIASHARA YENYE NGUVU
Mwandishi: Emmanuel Minga
MSINGI WA BIASHARA YENYE NGUVU
Mbinu za kuiwezesha biashara yako ifanikiwe katika ulimwengu wa ushindani
Najiseti nichukue kitabu kingine hiki kitabu chako cha biashara nakitumia sasa wateja hawajui kunichoka. Wengine wanalipia mapema kabisa kabla ya huduma nilijua biashara lazima uwe na mtaji mkubwa lakini kumbe hata ukiwa na maneno mazuri ya kumridhisha mteja tu ni mtaji tosha, mwaka huuu mwalimu watanibadili jina ety
Lamina
Juni 08, 2024
Nashukuru Mungu nimeweza kuanza tena biashara yangu asante kwa kitabu chako kimenifanya niendelee mbele
M.A
Mei 29, 2024
Nimeajiriwa lakini nimefanikiwa kuanzisha biashara ndogo, asante kiongozi umenifungua kwenye eneo la uwekezaji maana nilikuwa sielewi kabisa
Madam Jackline A
Mei 25, 2024
Nilikaa kusubiri nipate mtaji angarau 1M, lakini baada ya kusoma kitabu chako nikaona sizalishi kitu nikaanza kufanya kwa mtaji nilionao mwalimu nimeanza kuona faida . Mungu akubariki mwalimu 🙏
Tinna
Mei 25, 2024