vitabu

/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MISINGI 12 YA MAOMBI

kitabu
Mwandishi: Emmanuel Minga

MISINGI 12 YA MAOMBI

39 nakala zimeagizwa

4 tathmini

7000Tsh

Agiza
Maelezo

Ufahamu juu ya maombi yenye majibu

Tathmini

Nimemaliza kusoma kitabu cha maombiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ baba unanondo balaa. Tangu nimeanza kusoma vitabu vyako sijaona kitabu kilicho shallow ....... Vyote ni balaaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ubarikiwe na zaidi nitakisomaneveryday kumkumbusha Mungu.

Teddy

Juni 25, 2024

Mwalimu habari nimesoma kitabu chote cha misingi 12 ya maombi, mwalimu nimezidi kujua mambo mengi kupitia maombi pia kina teohojia kubwa sana kitabu hicho ni lulu kwangu nitakitumia hata kuandaa semina zangu za maisha kiroho , asante sana Mungu azidi kukufunulia mambo makubwa zaidi na zaidi.

P A.B

Juni 04, 2024

Nichukue nafasi hii kukushukuru kwa yale uliyoandika kwenye kitabu cha misingi 12 ya maombi looh! Kwa kweli hakuna mbadala wa maarifa, dawa ni kusoma vitabu ili ujinga ututoke. Napenda nishukuru Mungu sana kwa ajili yako,kwani bila kukubali wito huu wa unadishi maarifa haya ningeyapata wapi? Mungu akubariki sana nimekuwa kama ambaye amechochewa moto ndani yangu kwa ajili ya kuombaπŸ’ͺ Raha sana kufanya kitu ukiwa na maarifa nacho, nashukuru sana mtumishi, narudia tena ubarikiwe na Mungu akupe mahitaji yako yoteπŸ™πŸ€

Pastor T

Juni 04, 2024

Maombi ni maisha na hata usipoomba mwenyewe Kuna watu watakuombea na usitegemee Sana kuwa watakuombea mazuri tu wengine wanaweza omba mabaya kwa ajili yako,Hivyo kwenye Hilo kitabu Cha Misingi 12 ya maombi Kuna vitu vya maana Sana kwa mtu mweny kufahamu nn maan ya maombi na hata asiyefahamu lazima atatoka na uelewa wa tofaut na kuwa mtu wa mabadiliko kwa MUNGU Kila kitu kina principle MUNGU haendeshi mambo kiholela,na hizo kanuni zinasaidia mtu kupata majibu ya maombi yake sababu kanuni ilifuatwa lazima ilete matokeo,kitabuni humu nimepata pa kujidaia.

Favour Godly

Mei 03, 2024