/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ MATIBABU YA FIKRA
Mwandishi: Emmanuel Minga
MATIBABU YA FIKRA
Ufunguo wa kufikiri zaidi ya kawaida
Ufunguo wa kufikiri zaidi ya kawaida
Daaaah kaka mwishoni mwa kitabu hiki kwenye vitu vinavyoweza kudhibiti uhuru wako, pont ya fesha imenigisa sana now nimeelewa sasa kwanini fedha ikiongezeka na matumizi yanaongezeka, thank bro now money can't control me any more
Erica B.
Juni 29, 2024
Nimepona sana... Nilikuwa mlalamikaji mkubwa lakini sahizi naenda kuwa muwajibikaji zaidi. Mungu akutunzie tu siti yakoπ
Sendela
Juni 25, 2024
Nimesoma hiki kitabu nimekuta akili inawaka moto kitabu ni zaidi ya dawa, nashindwa lugha nzuri ya kukushukuru asante tena sanaπ nalia kwa furaha kitabu kilikuwa zaidi ya kioo nimejiona utumwa mwingi ndani ya fikra zangu nashukuru Mungu anayenipenda kiasi hiki. Nimekuwa mtu mwingine ila utumwa wa fikra unaathiri vitu vingi eehπππ Mungu azidi kukuinua na kukubariki apendavyo
Mwasiana J
Juni 04, 2024
ππΏππΏ Daah Kaka kumbe kuna mambo ukiyajua maisha yanakuwa mepesi Mungu akuzidishie Kaka maana umetutoa wengi kwenye jela la fikraππΏ Kaka Mungu akubariki saana kitabu kiko pw saana
Steven
Mei 23, 2024
Kitabu chako ni cha moto kumbe nilikuwa mgonjwa na sijui, asante sana mwl.πππ
Antie R
Mei 14, 2024
Mwl nimejifunza mengi sana humu , mambo mengi ambayo mwanzo nilikuwa nayafanya kumbe ni utumwa na sikujua namna ya kuyakwepa sasa nimepata mbinu za kujenga mfumo mpya wa fikra zangu ili niishi maisha ya ndoto zangu
Steven
Mei 13, 2024

Daaa mwalimu hii kitu ningeisoma zamani nazani ningekuwa mbali sana sasa, asante kwa madini mkuu
Emmanuel makini
Mei 11, 2024