/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ KULINDA THAMANI YAKO
Mwandishi: Emmanuel Minga
KULINDA THAMANI YAKO
Mbinu za kukusaidia namna ya kufanya ukiona mtu anapoteza hamasa ya kuwa na wewe
Ahsante kaka wenyezmungu abariki sana kazi yamikono yako akuinue kwaviwango vingine nimesoma nakuelewa viziri nasasa ninaaman yamoyo .
Madam WT
Septemba 04, 2024
Kaka naamn upo slm nipo slm pia Thanks sbb unanifunza na nazd kujifunza pia ulinambia niombe Mungu in real sikuacha kulia kwake eee sijui ata nimewezaje ila Mungu amenisaidia Jana rasmi nimeachika ila nashangaa nilivyoweza kukubali Yaan niliingia chumban nikalia kutoa uchungu mwisho nikanyamaza nikafuta kumbukumbu zetu zote mpaka sasa simkumbuki in real sina maumivu kbs na nina furaha Niliamua hadi kufunga,siachi kuomba najua Mungu hutrnda zaidi ya ninavyofikiri Maombi na ushauri na kusoma vitabu kumenisaidia ,najiona mm bora najiona nina thamn Mungu akubariki sana
Madam Maria
Agosti 07, 2024
Sina neno zuri zaidi ili ujue jinsi gani najivunia ujio wako kwenye moyo wangu kaka mungu azidi kukutunza na kukubaliki kwa viwango vinavyo stahili Asante sana umenipa ujasili wakujiamini zaidi kwakwel chamuhimu kwangu saiz ni biashara yangu ππππ
Sinta B
Juni 22, 2024
Kwanza asante kile kitabu kimenisaidia sana kimenifanya nimekua mpya nikihisi siko sawa nasoma hata kurasa moja. Pia nimemblock almost kila sehemu ila cha kushangaza wiki mbili hizi anajifanya mtu wa kumtafuta sana
Madam Y
Juni 20, 2024
Mtu anaanza eti sikuhiz ckuelew kabsaa wakat alikuwa mda hana muda wote cm lkn sasa akifik cm anaweka pemben yaan yeye mwenyew anajishtukia π€£π€£π€£π€£π€£ubarikiwe sanaaa KAKA NA MUNGU AKUZIDISHIE MAARIFA TUZID KUPONA ZAID NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
Z.S
Juni 11, 2024
Kabla ya kusoma kitabu chako nilikuwa najiona mimi sina bahati nilikuwa nawaza bila huyu kijana nitaweza kweliπ Kumbe yeye sio Mungu bhana now najiona mrembo Jamaa alivyoona sina tyme nae akaanza kumtuma rafiki ake kuongea na mimi kwanza huo muda wa kumsikilia ninaoπ niko bize na mambo yangu mara anitumie message leo nimekumiss na mambo kibao me nasoma na kukausha π yaani najiona mshindi kwanza nimependeza shepu hilo yaani nazidi kuwa mtamu hapo ndio anachanganyikiwa bora niienjoy maisha yenyewe mafupi.ππ
Zaida L.
Mei 30, 2024
Nimejua makosa yangu ilikuwa kila saa natuma message za kumlaani na viimag vya kulia kumuomba aje hivyo hivyo hata kama ameoa kwasbb mm nimezaa nae ntampata nani tna yaan vocha zilikuwa ninaishia kwake tu. Ila leo kashangaa sijatuma mpaka sasa hivi nimekaa kimya yaani sijaamin kama ningeweza maana alinikuta mbichi mpaka kanizeesha alisha nisaliti na watu wangu wa karibu sn namsamehe sbb sikutaka kuwa na mahusiano mengine tena
Irene S
Mei 30, 2024
Nguvu ya kuleta mabadiliko naamini inaanzia kwangu. Mr cheater ananibembeleza now days ananitext na kunipigia anaongea very porite
Madam CU
Mei 29, 2024
Anayeteseka ni yeye Saiv kipaumbele changu ni mimi mwenyew nachohitaj nipesa2 nitafute pesa niwe bosslady mmoja hivπ π π
Madam L
Mei 28, 2024
Mwl nashukuru sana aisee, Mungu akubariki sana ninafuraha now niliamua kumuacha yule jamaa na kufuta namba yake kabisa , lakini yeye kwa sasa ndio anahangaika kunitafuta amekuja kwa nguvu zote anaomba msamaha kwa magoti nashukuru sana bila hii ninge angamiaππ
N. Hangasina
Mei 27, 2024
Saiv naambiwa na kila mtu mbn nazidi kung'aa Sanaa ππ tofauti na mwanzo hahah nikajifunza kitu kumbe mtu akiwa na stres hua anafubaa ππjmn ππΎππΎumenitoa Katka ziwa la moto am strong now mm c yule wa mwanzoo choz halijawai dondoka Tena tangu cku niijue thaman yangu..
Madam G
Mei 17, 2024
Hiki kitabu kimenisaidia sana nilikuwa sijui hata namna ya kukaa mbali na huyu mwanaume nikachagua kuwa mtumwa wake ili tu niwe naye, nilijichukia sana lakini sasa najifurahia mimi ni mpya barikiwa sana baba
Rahel
Mei 15, 2024
Amina kaka nashukuru sana kazi Mungu akubariki kazi ya mikono yako ulichongea ni point sana sasa nina mahusiano mazuri san ametokea mkaka ananipenda hatari ni Mungu mwema kibukwa nilichojifunza kwako makosa ya mtu mwingine yasikufanye ujutie na amani na furaha kwa mahusiano haya huyu kaka anakipato cha kawaida ila ananipenda sanaa anajali sana na ni msikivu asante sana kaka yangu mzuriπππ
Madam G
Mei 14, 2024
Asante mwalimu Mungu akuweke kwa ajili yetu sisi vipofu umenizungumzia mimi tu humu sijawahi kupewa zawadi ahadi feki, daa nimepoteza muda . Kwanini sikukufahamu mapema hii jmnππππ
Paliane
Mei 14, 2024
Mwalimu niliachwa niliteseka sana sikujua nafanyanini kwani nilimpenda sana ilikuwa vigumu kwangu kumsahau lakini hiki kitabu kimefanya maajabu nimeshamsahau na sasa nimenenepa na mwili asante sana kitabu chako kimenisaidia sana
Elin
Mei 06, 2024