/ Vitabu/ Emmanuel Minga/ KAMBA ZA KUOMBEA MSAMAHA
Mwandishi: Emmanuel Minga
KAMBA ZA KUOMBEA MSAMAHA
Jifunze mbinu za kuombea msamaha ambazo ni ngumu kupuuzwa.
Kamba zakuombea msamaha ππ½ππ½π₯π₯ baba ..mbona kila kitabu kina madini yakutosha jamani ππ½ππ½ππ½
Ted
Juni 28, 2024
Hizi kama ukimfungia mtu hachomokiπmahusiano yangu yamepona nilikuwa na hofu ataniacha tunaendelea hali ni shwari
Elsran
Mei 14, 2024