/ Vitabu/ Emmanuel Minga/
Vitabu vya Emmanuel Minga
USITESEKE TENA
Mbinu za kukusaidia kupona maumivu ya hisia
SIRI YA KUUSHINDA USALITI
Dawa ya kuponya moyo uliosalitiwa
MATIBABU YA FIKRA
Ufunguo wa kufikiri zaidi ya kawaida
UFUNDI WA FEDHA
Zijue siri za kuiongeza fedha yako zaidi
SUMAKU YA FEDHA
Mbinu zilizothibitishwa kuivutia na kuifanya fedha ikutumikie
MTAJI ADUI
Namna ya kutumia changamoto unazopitia kufika viwango vya juu zaidi. Changamoto zako ni mtaji.
KULINDA THAMANI YAKO
Mbinu za kukusaidia namna ya kufanya ukiona mtu anapoteza hamasa ya kuwa na wewe
MWANAMKE WA KAZI
Mbinu za kukukwamua mwanamke na kufanikiwa bila ya kumtegemea mwanaume
MISINGI 12 YA MAOMBI
Ufahamu juu ya maombi yenye majibu
MAMA MWENYE SURA MBILI
Yanachoma ila yanaponya, darasa nililojifunza kwa machozi
JIFUNZE UANDISHI WA VITABU
Mwongozo wa kukusaidia kuwa mwandishi bora wa vitabu
NAMNA YA KUWA MTU MWENYE MVUTO ZAIDI
Namna ya kuwa mwanaume au mwanamke mwenye mvuto zaidi
MTATUZI WA MATATIZO YAKO
Nguvu usiyoijua ya kutatua matatizo yako kiuchumi na kimahusiano
ULIMWENGU WAKO
ITAMBUE NAFASI YAKO UYAVUTIE NA KUYAISHI MAFANIKIO YAKO
MSINGI WA MAHUSIANO
Namna ya kuwa mtu sahihi ili upate mtu sahihi wa kuwa naye kwenye mahusiano
MSINGI WA BIASHARA YENYE NGUVU
Mbinu za kuiwezesha biashara yako ifanikiwe katika ulimwengu wa ushindani
JIKOMBOE NA MADENI
Mwongozo wa kukusaidia kutoka kwenye madeni
HEKIMA YA FEDHA
Ifahamu hazina ya ufahamu sahihi juu ya fedha
UFALME WA MUNGU
Udhihilisho wa nguvu isiyo ya kawaida ulimwenguni
MWANAMKE NI NANI
Upande usioufahamu ambao watu wengi hawawezi kukwambia kuhusu mwanamke
SIRI YA KUWA MWANAUME
Ufahamua ambao vijana wengi wa kiume wameukosa , hawajafundishwa kuhusu uanaume na kuwa baba bora kwa familia …
SIRI 10 BORA ZA KUISHI NA MWANAUME
Zijue siri ambazo wanaume hawawezi kukwambia lakini ndizo wanatekwa kwa hizo.
UTUNDU ADIMU WA MAHUSIANO
Mambo muhimu kuyafahamu ili usiteseke na mahusiano.
KAMBA ZA KUOMBEA MSAMAHA
Jifunze mbinu za kuombea msamaha ambazo ni ngumu kupuuzwa.
KUPUUZWA HADI KUPENDWA
Siri za kutopuuzwa na mwanamke umpendaye