/ Kuhusu/
EMMANUEL MINGA
Kuhusu Mimi
Emmanuel Minga
Emmanuel Minga ni mwalimu, mwandishi na mshauri wa mambo ya mahusiano, fedha na maendeleo binafsi. Kwa sasa anapatikana jijini mbeya. Amewasaidia maelfu ya watu katika eneo la mahusiano, maendeleo binafsi na uchumi kupitia vitabu vyake, huduma ya ushauri na masomo yake mbali mbali anayoyatoa mtandaoni.
Minga's tunatoa maarifa ambayo ni tiba ya matatizo yako kimahusiano , kifedha na maendeleo binafsi. Emmanuel Minga kwa neema ya Mungu amekuwa msaada kwa wengi na hadi sasa kuna kuna mamia ya shuhuda za watu waliosaidiwa na wamerudi kutoa shuhuda zao. Baadhi ya shuhuda hizo utazikuta hapa pia. Karibu, tunakuthamini sana.
Huduma
Mahusiano
Jifunze namna ya kujenga mahusiano na familia bora
Uchumi
jenga uchumi uliosimama na endelevu, kwa namna ya wepesi Zaidi
Ukuaji Binafsi
badilisha viwango na mtazamo wa utu wako kuwa kiumbe mwingine mwenye maarifa ya kukutofautisha na watu wengine
Shuhuda
Wateja wetu